Pendekezo: Bruno Fernandez apewe tuzo ya Mchezaji bora wa EPL msimu huu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Bruno Fernandez amewasili Man Utd januari hii, na mpaka sasa ameshawaacha wale aliowakuta mbali sana, impact yake katika EPL na Man Utd imekuwa kubwa sana yaani ya moto[emoji91][emoji91][emoji91]

Mpaka sasa Bruno ameshacheza Mechi 10 za EPL takwimu zake katika EPL ni kama ifuatavyo:
Mechi - 10
Magoli - 7
Assist - 6
Jumla amechangia upatikanaji wa magoli 13
Nafasi za magoli alizotengeneza - 28

Amekuwa mchezaji bora wa mechi karibu kila mechi alizocheza!

Mimi nikiwa kama shabiki kindakindaki wa Brighton Hove & Albion na EPL kwa ujumla sio vibaya Bruno Fernandez akapatiwa tuzo ya mchezaji bora wa EPL kwa mchango wake mkubwa aliouonyesha mpaka sasa! Mapovu ruksa...[emoji23][emoji23][emoji23]

 
Mechi vs liver alikuwepo huyu?
 
Hicho kiwengo chake kimesababishwa na Awamu ya 5
 
Yah...apewe tu kama KDB atakua amekufa...nasisitiza kama KDB atakua amekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…