Pendekezo: Bruno Fernandez apewe tuzo ya Mchezaji bora wa EPL msimu huu

Hahaha kwanini mkuu?
KDB anajua mpira jamani daah! Halafu haongei yule jamaa ye ni Kazi tu...Pep Guardiola alishapanga kikosi chake cha wachezaji aliowahi kuwafundisha...basi walijaa wachezaji wa Barcelona then Bayern..Man city alitajwa mmoja tu..na ni yeye huyu KDB pekee kwenye first eleven ya Pep Guardiola.
 

Kwani Bruno anaongea mkuu?
 
Yani ukiwa shabiki wa nyumbu unitetee Yani kujisifia kwa Sana Sasa mechi 10 2 ndo awe mchezaji Bora unaijua ligi kweli
 
bado sana.
ManU na Fernandes wapo kwenye form kweli but mnakumbuka form ya Leicester na Vardy kabla ya Christmas msimu huu?

Leicester wakawa wanapigiwa chapuo kama title contender (kama wengine sasa hivi wanavyojidanganya eti ManU ipo kwenye level ya kupigania ubingwa EPL msimu ujao) na Vardy alikuwa akipigiwa chapuo kama mchezaji bora wa msimu huu.

angalia Leicester na Vardy wao wapo wapi leo? wakimaliza top 4 watakuwa na bahati sana.

consistency!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…