PENDEKEZO: Bukoba Airport (Sasa iitwe Majaliwa Airport)

PENDEKEZO: Bukoba Airport (Sasa iitwe Majaliwa Airport)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
 
Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
akili ya waafrika! Ili iweje?
 
Tujengewe uwanja wetu Kajunguti imekuwa muda mrefu sasa.
 
Tanzania ni watu wa hovyo mno kijana aliyesababisha vifo vya watu 19 kwenye ndege amepewa ajira kwenye kikosi cha Zima moto so [emoji26]
Amesababisha kivipi, kama hujui kitu uliza.
 
Kijana jasiri anastahili kuenziwa
 
Kwa akili hizi kama za huyu mwandishi acha fisiemu iendelee kutu nyonya tuu
 
Back
Top Bottom