PENDEKEZO: Bukoba Airport (Sasa iitwe Majaliwa Airport)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
 
Hilo nalipinga kwa nguvu zote. Jina la huyo kijana lingekuwa MULOKOZI au BYAMUNGU au MWANANOGU au KALIMALINZIRA sawa. Lakini Majaliwa, HAPANA! Watu watafikiri anaenziwa Waziri Mkuu Majaliwa! Ahahahahah!!!!
 
Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
akili ya waafrika! Ili iweje?
 
Tujengewe uwanja wetu Kajunguti imekuwa muda mrefu sasa.
 
Tanzania ni watu wa hovyo mno kijana aliyesababisha vifo vya watu 19 kwenye ndege amepewa ajira kwenye kikosi cha Zima moto so [emoji26]
Amesababisha kivipi, kama hujui kitu uliza.
 
Kijana jasiri anastahili kuenziwa
 
Kwa akili hizi kama za huyu mwandishi acha fisiemu iendelee kutu nyonya tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…