Pendekezo: DSO awe ndio Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Wilaya badala ya DC!

Ulinzi na usalama ni kazi ya watu gani?
"Kamati za ulinzi na usalama ziongozwe na JWTZ na DSO awe katibu"

Kwenye nchi zinazoendeshwa kiraia, mwenye mamlaka ya mwisho eneo la kiutawala ni mwanasiasa otherwise iwe kama Burma
 
Baada ya kumrudisha Mo, akili zimekaa sawa! Nakuunga mkono.
 
Kwani mambo ya usalama siyo ya kijeshi?!
Wakifutwa wanasiasa, hao wenye usalama watawajibika kwa nani?

Mantiki yangu, nchi inayoongozwa kiraia lazima hao wanajeshi and the likes wawajibike kwa wanasiasa ndio utaratibu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…