PENDEKEZO; JF MEMBERS &FORUMS AWARDS 2016

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Jf Ni Kwa Sasa Sio Tu Inafundisha Na Kuburudisha Pia Inajenga Mahusiano Na Connection Mbalimbali Kama Vile Elimu,biashara,kijamii Na Uchumi

Tuko Members Mbalimbali Wenye Michango Mikubwa,waburudishaji Na Wasumbufu Pia.

Ushauri Wangu Kwanini Kusiwe Na Awards Kila Mwaka Kwa Wanachama Na Majukwaa. Mfano Noms; Jukwaa Bora La Mwaka
Mwanachama Bora Jukwaa La Siasa
Mwanachama Bora Wa Mmu
Mwanachama Bora Wa Mwaka Ke
Mwanachama Bora Wa Mwaka Me
Mkeshaji Bora
Msumbufu Wa Mwaka
N.K Mods Hebu Kaen Chini Mfikirie Hlo Suala Na Mtuletee 'Nominees' Watu Tupigiane Kula
 
Hizo mambo mbona zamani zilikuwepo... labda waliona kuna sababu ya kuondosha ingawaje wanaweza pia kurudisha! Nakumbuka mmoja wa ambae alipata kushinda alikuwa AshaDii ingawaje nakumbuka pia kuna ambao waliamini FaizaFoxy ndie alistahili... sikumbuki vizuri, kama ilikuwa ni category ya JF Ke bora hii au nini hasa!!!
 
Mleta mada naona kama umestahi kuandika
Ki.laza bora wa mwaka wa kiume
Ki.laza bora wa mwaka wa kike
Kimsingi wazo ni zuri maana chanda chema huvikwa pete kama mdau hapo juu alivyosema shindano lilikuwepo na akataja baadhi ya washindi naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…