Pendekezo: Kitengo cha mipango miji na taaluma ya mipango miji vifutwe haraka sanahapa Tanzania

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Miongoni mwa vitu vya ovyo kabisa hapa Tanzania ni uwepo wa mipango miji na wataalamu wa mipango miji. Hivi vitu havina faida yoyote hapa Tanzania na hapa napendekeza vifutwe haraka sana. Sihitaji hata kusema sababu gani imepelekea nipendekezo hilo lakini hata wewe msomaji tayari umeshajua sababu.

Nasema vifutwe hata sasa hivi.
Vifutwe na visiwepo tena hapa Tanzania.
 
Hapana wanahitaji watu wa mfano wa huyu dogo.

Your browser is not able to display this video.
 
Hata sijui kazi yao ni ipi?80% ya miji yetu ni squatter
 
Kufutwa sawa, lakini suala kina kuja baada ya kufutwa inakuwaje. ?? Tunaenda hole hobela au sasa tutaenda Kwa kufuata taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…