Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

kiukweli hili in jambo la muhimu sana lakin kabla atujafika uko kwanza tujue mapungufu ya wapelelezi waliopo kwa sasa ndani ya jeshi la polisi na kwamba sio ao wapelelezi wa jeshi la polisi hawajawa professional hapana Bali wapo wengi sana tu walio profession na bado wapo wasio professional bali wanafanya kazi kwa mazoea tu ya general investigation na pia sio kwamba hawa polisi walihopo awawezi kufunzwa na kuwa professional hapana ni kwamba wanawesa kufunzwa na waka professional pia kingine ni sharia zitingwe kwaajili ya kuwapa hadhi hawa investigator wa polisi kama wanavyopewa hadhi taasisi zingine kama TISS na wengine cha mwisho ningewashauri viongozi wa polisi wajenge chuo kitakacho husika na course ya upelelezi tu sio chuo kiwe na course zingine hapana mfano kuna chuo kinaitwa kidatu kipo morogoro ni cha polisi sasa wangekiyenga labda icho kiwe na besic ya kutoa mafunzo kwa upelelezi tu na hasiwepo askari atakae Fanya kazi ya upelelezi na wakati hajapitia ayo mafunzo
 
Upepelezi unahitaji professionalism. Hivyo kuwaachia hilo jukumu polisi siyo sawa kabisa.
Ndani ya polisi kuna vitengo mbali mbali... Je umepata muda kupitia vitengo hivyo na ufanyaji wake wa kazi? Na je tuna takiwa kuviondoa polisi kutengenezea taasisi yake tofauti na polisi au ndani ya polisi?
 
Vilevile ile bureau ikianzishwa itapunguza urasimu na rushwa kwa kiasi kikubwa ndani ya jeshi la polisi
Rushwa itahama kutoka polisi kwenda huko kitengo kipya. Watu ni wale wale (watanzania). Kwangu mimi tatizo liko kwetu (watu) na siyo idara.
 
Yote tisa wanatisha kwenye kuanzis fake kasi nakuwadhulumu wanyonge. Hili nimemwandik hata IGP
 
TISS hawawezi kutoa ushahidi mahakamani, TAKUKURU wamepewa mamlaka kwenye masuala ya rushwa pekee.
tunahitaji taasisi mpya itakayofanya kazi kwa uhuru na weledi

Hapa ndipo penye Mtego Mkuu ,kuipata Taasisi ya namma hii inahitajika iundwe kwa Mfumo usioweza kuingilika hasa na Wanasiasa
 

Wenzetu wana fanikiwa Sababu wanayo Mifumo isiyo ingilika kirahisi ,na Sheria zao wana hakikisha zinafuatwa kweli kweli sio kama hapa kwetu Mtu mmoja anaamua mambo ya Taaisis nyimgi kisa ni Boss wao.
 
Wenzetu wana fanikiwa Sababu wanayo Mifumo isiyo ingilika kirahisi ,na Sheria zao wana hakikisha zinafuatwa kweli kweli sio kama hapa kwetu Mtu mmoja anaamua mambo ya Taaisis nyimgi kisa ni Boss wao.
Kabisa.. na Tanzania kinacho takiwa tuwe na taasisi imara zinazo jitegemea na zinazo weza kuwajibishwa.
 
Ni kweli idara ya upelelezi itolewe na sio hiyo tu

1.tume ya uchaguzi
2.mahakama
 
Mchawi mkuu alimtuma mchawi Mdogo akaroge na aliyerogwa akaenda kwa mchawi mkuu kwa kuwa kajitambulisha in mganga.
Acha hzo tupambane tuondoe ujinga kwa wananchi, wakielimika tu kila kitu kitaenda sawa.
Wananchi wanawaamini waganga wa kienyeji kuja kutatua matatizo yako. Hapa safari ndefu.
 
Inabidi pia ofisi ya DCI itoke polisi na iwe kitengo kinachofanya kazi chini ya, au pamoja na DPP
 
Ndani ya polisi kuna vitengo mbali mbali... Je umepata muda kupitia vitengo hivyo na ufanyaji wake wa kazi? Na je tuna takiwa kuviondoa polisi kutengenezea taasisi yake tofauti na polisi au ndani ya polisi?
Juna sifa moja tu ambayo inaweza kumdisqualify polisi yoyote kuwa mpelelezi hata km ana proffesionalism. Polisi wako harsh. Mpaka hapo hilo ni tatizo
 
Kama hiyo itashindikana basi sheria ziruhusu kuwe na private investigations
 
Rushwa itahama kutoka polisi kwenda huko kitengo kipya. Watu ni wale wale (watanzania). Kwangu mimi tatizo liko kwetu (watu) na siyo idara.
Ndugu niamini watu wanabadilika siyo hicho unachofikiria rushwa iko kwa baadhi ya watu na wala siyo kila mtu anapenda rushwa
 
Ni kweli idara ya upelelezi itolewe na sio hiyo tu

1.tume ya uchaguzi
2.mahakama
Kwenye katiba ya warioba .. tume ya uchaguzi na mahakama. Vimewekwa vizuri ila kwenye baadhi ya mambo hayapo vizuri.

1. Upelelezi
2. Huduma za polisi
3. Usalama wa nchi na ujasusi


Mfano : kwenye eneo la usalama na ujasusi sina hakika kama tuna chombo kinacho coordinate taasisi nyingine za intelligence kama jeshi, pilice etc.

Upelelezi ndio kama nchi tumechepuka sana


Fikiria jinsi issue ya MO police walivyo fanya upelelezi wake.. hadi Magufuli aliwashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…