Pendekezo: kombe la ligi timu zicheze mechi mbili.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, nimefikiri sana jinsi michezo ya kombe la ligi inavopangwa na nimeona ni bora wahusika wakabadiri aina ya michezo hii ambayo inadhamniwa na Azam.
Pendekezo langu timu zecheze mechi mbili kama kwenye 'Copa del rey' nchini Spain au fainali za CAF ambapo timu hucheza nyumbani na ugenini.
Hii itanogesha mashindano haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Simba ingepata nafasi ya kurudiana na Mashujaa huko Kigoma??Hapo utamu ungenoga au ungepungua??Mimi naona utamu ndio vile MTU mzima kaotewa katolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waandaaji wamefanya copy n paste wa mfumo wa mkoloni Muingereza wa FA Cup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto gani umeona kwenye mfumo wa sasa hata maoni yako yafuatwe
Mkuu, kama utafuatilia ratiba iliyopita utaona takriban mechi zote za timu za Mtibwa na Yanga hazikucheza nyumbani. Na naona kwa msimu huu timu ya Yanga inavocheza mechi hizo nje ya nyumbani kwake pamoja na Azam nadhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…