Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Sidhani kama sheria na taratibu za kodi unazielewa vemaHabari Tanzania !.
Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".
Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.
Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.
NB
Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.
Ahsante.
Pia ianzishwe kodi mpya kwa viongozi wasagaji kwa kadiri cheo kinavyokuwa kikubwa na kodi yenyewe iwe kubwa.Habari Tanzania !.
Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".
Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.
Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.
NB
Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.
Ahsante.
Habari Tanzania !.

Tutaanza na kodi la Mpira wanaojaa uwanjani, kodi ya Sho za Zuchu, kodi la standup commedy na kodi ya Diwani wa ccm akihutubiaHabari Tanzania !.
Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".
Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu sehemu fulani kuna leta changamoto za Uharibifu wa miundombinu, kuzizorotesha huduma za jamii sehemu tukio linakofanyika nk. Tulijenge Taifa letu kwa pamoja.
Sasa naomba tujiwekeee utaratibu wa hii Kodi mpya ya Kusanyiko la watu/ Umma kwa mtu au watu, kikundi au taasisi walipie kwa mwaka.
NB
Taasisi za kidini pekee wasiguswe na hii huduma ya kodi.
Ahsante.
Sawa wazo lako watalikubari. Kisha watumie akili kama yako kuweka kodi ya kupumua.Habari Tanzania !.

Ndiooooooooooo