Pendekezo: Kwa mgomo huu wa wafanyabiashara, Waziri wa Fedha wa Tanzania aondolewe haraka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.

Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi.

Au kama kawekwa ili kukusanya hela za uchaguzi za CCM basi si kesi apelekwe kwenye madini.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
..Mtoza kodi mkuu nchi hii ni RAISI, sio Waziri wa Fedha.

..Raisi ndiye anayeteua Kamishna Mkuu wa Tra.

..Ni vizuri tukaelekeza lawama na malalamiko yetu kwa mhusika mkuu, badala ya kujaribu kutoa watu kafara.
 
Huyu kiazi hawezi kujua hili

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.

Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi.

Au kama kawekwa ili kukusanya hela za uchaguzi za CCM basi si kesi apelekwe kwenye madini.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hapo paragraph ya mwisho umemaliza vibaya.
 
Hufahamu hata anayepaswa kuwajibika katika hili.

Mwigulu ndio anaficha bidhaa kwenye maghara?

Lipeni kodi,

Mnataka maendeleo wakati hamtaki kutimiza wajibu wenu?
 
Kigoma imegoma!
FB_IMG_1684333913885.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.

Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi.

Au kama kawekwa ili kukusanya hela za uchaguzi za CCM basi si kesi apelekwe kwenye madini.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15]

Boniface Jacob na wenzake wana nini ?!!![emoji1787]

Siasa zenu za "tug of war" mmezihamishia kwa mh.Mwigulu Nchemba?!!!yaani mmepata pa kupiga?!!!

Matatizo ya wafanyabiashara yako kabla ya Mwigulu kuwa waziri wa fedha.....

Tunayarahisisha sana matatizo ya Kodi......

Matatizo ya Kodi ni makubwa kuliko kumlaumu mtu mmoja....yanaanzia na silka yetu watanzania kutopenda kulipa Kodi.....yanaendelezwa kwa RUSHWA na kitu kidogo kwa maafisa wa kodi......

Elimu ya kodi ni jambo kubwa inatakiwa liingizwe katika MITAALA shule za msingi kama tunavyotaka kuiingiza ya "KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA"...

Hivi wafanyabiashara kuingiza mizigo yao usiku wa manane kupitia BANDARI BUBU....hili nalo ni la mh.Nchemba?!!!!

Tatizo si MWIGULU NCHEMBA......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.

Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi.

Au kama kawekwa ili kukusanya hela za uchaguzi za CCM basi si kesi apelekwe kwenye madini.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huu ni aina nyingine ya ujinga, Waziri wa Fedha ndio amefanyaje hasa?
Hapo Kariakoo Kuna mashabiki wa chadomo ndio wamekuwa waongeaji wakubwa Kwa mambo Yale Yale ya personal attack Kwa Mwigulu bila ushahidi.
 
Back
Top Bottom