Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu kiazi hawezi kujua hili..Mtoza kodi mkuu nchi hii ni RAISI, sio Waziri wa Fedha.
..Raisi ndiye anayeteua Kamishna Mkuu wa Tra.
..Ni vizuri tukaelekeza lawama na malalamiko yetu kwa mhusika mkuu, badala ya kujaribu kutoa watu kafara.
Hapo paragraph ya mwisho umemaliza vibaya.Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.
Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi.
Au kama kawekwa ili kukusanya hela za uchaguzi za CCM basi si kesi apelekwe kwenye madini.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Maendeleo gani sasa zaidi.ya ufisadiHufahamu hata anayepaswa kuwajibika katika hili.
Mwigulu ndio anaficha bidhaa kwenye maghara?
Lipeni kodi,
Mnataka maendeleo wakati hamtaki kutimiza wajibu wenu?
Wamesema wafanyabiashara kuwa walimpelekea mapendekezoPendekezo la kipuuzi sana hizo sheria alitunga yeye , ukwepaji wa kodi kwenye stoo inapaswa kukomeshwa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15]Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.
Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi.
Au kama kawekwa ili kukusanya hela za uchaguzi za CCM basi si kesi apelekwe kwenye madini.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huu ni aina nyingine ya ujinga, Waziri wa Fedha ndio amefanyaje hasa?Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.
Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi.
Au kama kawekwa ili kukusanya hela za uchaguzi za CCM basi si kesi apelekwe kwenye madini.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mkuu usihangaike na WajingaWamesema wafanyabiashara kuwa walimpelekea mapendekezo
Wakashtukia sheria imepitishwa kwa hati ya dharura