lol hapa unatambulisha nini?Jamani wana JF pamoja na Mods nilikua na pendekezo kuwa kama inawezekana ianzishwe navigation button nyingine ambayo itakua inaonyesha watu wote ambao wako online,mfano labda hiyo button inaitwa members online,unapoclick hapo unakuta members wote ambao wako online.
lol hapa unatambulisha nini?
Jamani wana JF pamoja na Mods nilikua na pendekezo kuwa kama inawezekana ianzishwe navigation button nyingine ambayo itakua inaonyesha watu wote ambao wako online,mfano labda hiyo button inaitwa members online,unapoclick hapo unakuta members wote ambao wako online.
msindima njoo utoe maelezo yako vizuri unahitaji nini ..
Fl1 ni hivi,unapo-sign in msn messenger au yahoo messenger inakuonyesha members ambao wako online na offline,nadhani unakuwa na list ndefu ya wale ambao umewa-add kwenye contact yako,sasa hapo nilikua naona hivi watengeneze ku-button ambako katakua na list ya members wote,na unapofungua hapo sasa unajua kuwa msindima,FL1,MJ1,Chrispin,Fidel wako online nadhani kwa hapo utakuwa umenipata.
ok ok nimekupata ngoja mod aje asema kama kuna uwezekano huo
ila hapo huwa naona walioko online wanajitenga kabisa pale chini
NO!,Unajua sisi hivi ili kujua nani yuko online mpaka ufungue mada mojawapo ndo utakuta pale chini members walioko online,na hiyo nilishaiona ndo nikajaribu kufikiri kuwa kwa nini wasiongeze ka-button ili nikiclick tu nawakuta walioko online.