Pendekezo Kwa utumishi wa imma kufanyisha interview Ili kuongeza ufanisi na tija.

Pendekezo Kwa utumishi wa imma kufanyisha interview Ili kuongeza ufanisi na tija.

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
594
Reaction score
590
Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!!
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu wa idara na wasaidizi wake,

Mfano Maafisa utumishi wote kwenye kazi ya halimashauuri Hadi mkoani.
Ma_DAS &RAS wote, Afisa kilimo wilaya Hadi mkoa. Afisa elimu wilaya Hadi mkoa na wengineo!!!!


Pili wakuu wa idara hao wawekewe kipengele ambacho kama ataharibu au ufanisi wake utakuwa mdogo atashushwa mshahara wa mkuu wa idara utafuatwa muongozo wa idara aliyopo kwenye mfumo wa mshara. Ili kupunguzia mzigo serikali pale inapotaka kumwondoa anapoharibu mkuu wa idara.


Hii itasaidia kuondoa ukilitimba wa baadhi ya watu, kujiona miungu watu ofisini Kwa kuhofia akiharibu muda wowote atatemwa.

Pili hii itasaidia kuwa na simultaneous system Kwa wakuu wa idara wote nchi nzima na kupunguza utofauti wa utendaji kwenye idara , mfano inaweza tokea mtu ni nurse yupo mkoani kigoma au huku kwetu Rukwa wilaya x anapanda daraja then wilaya y hajapanda lakin wote wapo ndani ya mkoa mmoja.

Tatu, itapunguza uvivu kwabaadhi ya wakuu wa idara na kuongeza ufanisi na ubunifu kazini!!! Hapa serikali inatakiwa kuongeza kipengele kwamba promotion Kwa hao watu itategemea pia visible achievements, mfano Afisa Elimu wilaya anapoongeza ufaulu bonus yake itakuwa hii kwenye mkataba!!!!! Hapa lazima ieleweke ongezeko la ufaulu sio ongezeko la wanafunzi Bali result performance in percentage.

Mwisho hii itapunguza mulindikano wa baadhi ya familia kwenye ukuu wa idara licha ya aidha uwezo wao mdogo au hawakustahili kuwepo pale, mfano Leo ukifanya tafiti kuanzia kwenye mashirika na taasisi unaweza ukapata majibu ya haha.

Asanteen karibuni kwenye mjadala
 
Back
Top Bottom