PSSF Tower ni Ubungo plaza ?0778496901 Namba yangu, machine zinapatikana hapa dar, ubungo, pssf tower
Hapana, karibu na udsm, mimi si muuzaji wa mashine, nataka kununua, ngoja nitafute namba ya wauzaji then nitashare hapaPSSF Tower ni Ubungo plaza ?
Asante kwa taarifa, ingawa mimi nipo mkoa wa pwani ila nitafatilia zaidi.kiwanda cha kuchakata maji faida yake ni ndogo sana kama utakua unanunua chupa pengine uwe na kiwanda cha kutengeneza chupa .Kuna jamaa yangu alijaribu na akawa anasambaza hadi kwenye maofisi lakini akaona hapati faida ,akabuni mradi wa kutengeneza hizi pombe za Gin. Uko ndiko kuliko mtoa na kwenye faida.,pia Dar kuna competion kubwa sana ya viwanda vya maji kabla ya biashara jipange pia leseni kww Dar hawatoi sijui kwa sasa ila walizuiq.
Sahihi na hata hiyo mashine kwa amabo wanapiga hela hapa dar wanauza kwa reja reja bila vifungashio yani mtu anakuja na chupa yake kuchukua maji, kuna mshkaji yupo anapiga zaidi ya 150 per day na ni mradi mpyakiwanda cha kuchakata maji faida yake ni ndogo sana kama utakua unanunua chupa pengine uwe na kiwanda cha kutengeneza chupa .Kuna jamaa yangu alijaribu na akawa anasambaza hadi kwenye maofisi lakini akaona hapati faida ,akabuni mradi wa kutengeneza hizi pombe za Gin. Uko ndiko kuliko mtoa na kwenye faida.,pia Dar kuna competion kubwa sana ya viwanda vya maji kabla ya biashara jipange pia leseni kww Dar hawatoi sijui kwa sasa ila walizuiq.
Uz kwa rejareja usiwaze kufungasha kwny machupa weka mashine eneo zuri lenye watu wa kawaida utasahau hata mambo ya kuweka kwenye machupaHabari,
nimepita na kuona machine ndogo za kuchakata maji ya kunywa kwa uwezo 500L kwa saa zinauzwa hapa Tanzania, nimeona ni fursa kwangu kwakuwa nina source ya maji nyumbani na eneo naloweza funga mashine hivyo kubakiwa na kazi ya kutafuta chanzo cha fedha kufanikisha, hivyo nimeona niliweka hapa wazi kupata ushauri wowote kuhusu biashara hii. Na attach mfano wa project na mfano wa pendekezo la kutafutia mtaji nililosaidiwa kuandikiwa na open AI.