Pendekezo la Kuundwa Tanzania Emergency and Rescue Agency (TERA)

Pendekezo la Kuundwa Tanzania Emergency and Rescue Agency (TERA)

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Kwa rejea ya pendekezo la Abdul Nondo kuhusu majanga na desirable responsiveness and proactive plans za kimamlaka, nimeanza na brainstorming ya jina la chombo hicho, karibuni wadau kwa maoni mbali wizara mama mlezi iwe ipi na kwanini.

Hayo machache. nawasilisha wakuu.
 
Hivi vilivyopo tu havifanyi kazi tuongeze mzigo. Ingekua vimeelemewa na kazi tungeweza jadili hilo ila kwa sasa hakuna haja ya chombo kingine. Hawa waliopo watekeleze majukumu yao.
 
Hivi vilivyopo tu havifanyi kazi tuongeze mzigo. Ingekua vimeelemewa na kazi tungeweza jadili hilo ila kwa sasa hakuna haja ya chombo kingine. Hawa waliopo watekeleze majukumu yao.
unaweza kulitazama kwa kuvaa uhusika wa fikra zangu, hasa horizontal management style, kama sehemu ya tafakuri ya ugatuzi na placement ya weledi kiutendaji na uwezeshaji wake.
 
Hicho chombo tayari tunacho, Jeshi la zimamoto na uokoaji. Shida kubwa ni kuwa, Zimamoto imemeza masuala ya majanga mengine!

Binafsi wazo lako naweza kuliboresha kidogo kwa kusema Jina la jeshi la zimamoto lifutwe, liitwe hilo jina ulilopendekeza. Halafu structure ya jeshi hilo ibadilike, kuwe na vikosi vifuatavyo:
1. fire brigade,
2. marine rescue brigade,
3. Geological Hazards and Building Collupse brigade;
5. Humanitarian Relief Assistance Brigade.
6.Brigade ya uokozi kwa ajali za nchi kavu na Anga

Kiwe ni chombo kikubwa chenye nguvu na vifaa kama TPDF. Kikosi cha uokozi majini kinakuwa maeneo yote ya ukanda wa bahari na maziwa.
 
Back
Top Bottom