Hicho chombo tayari tunacho, Jeshi la zimamoto na uokoaji. Shida kubwa ni kuwa, Zimamoto imemeza masuala ya majanga mengine!
Binafsi wazo lako naweza kuliboresha kidogo kwa kusema Jina la jeshi la zimamoto lifutwe, liitwe hilo jina ulilopendekeza. Halafu structure ya jeshi hilo ibadilike, kuwe na vikosi vifuatavyo:
1. fire brigade,
2. marine rescue brigade,
3. Geological Hazards and Building Collupse brigade;
5. Humanitarian Relief Assistance Brigade.
6.Brigade ya uokozi kwa ajali za nchi kavu na Anga
Kiwe ni chombo kikubwa chenye nguvu na vifaa kama TPDF. Kikosi cha uokozi majini kinakuwa maeneo yote ya ukanda wa bahari na maziwa.