Pendekezo la maboresho katika huduma ya kulipa kwa simu (M pesa na Tigo Pesa)

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Habari,

Leo napenda nitoe maoni yangu kwenye huduma ya lipa kwa simu upande wa tigo pesa na m-pesa.

Wafanye maboresho kidogo kwenye upande wa kuhamisha pesa kutoka kwenye lipa ya Tigo au M Pesa kwenda bank.

Tuna waomba waeke jina la mteja kabla pesa haijahama nia ni kupunguza uwezekano wa pesa kupotea.
 
Kabisa, hili ni muhimu kuzingatiwa
 
Yan lipa kwa Tigo nawapenda sana, yani wakiweza kuweka jina la mteja basi.
 
Unajua kitu gan kingine inabidi ufanye? Nenda pale playstore katoe maoni yako pale kwny reviews za watumiaji was app itachangia kuwafikia!
 
Nimeona kutoka kwenye lipa tigo kwenda nmb wanatoa jina la mteja kabla ya kutuma pesa kwa mteja,,,,,ila lipa tigo kwenda Crdb bank hawatoi jina la mteja kabla ya kutuma pesa.
 
upande wa ada wameongeza na kutoa bure kwa wakala mwisho ni lak49999 ikizd unatozwa ada

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Yan kama Tigo huduma za Lipa zimewashinda bora wazifute tuuu.... sasa mwisho kutoa shs 499999 ndo nn???
 
Mum
 
Mm tigo kila siku wanatuma sms lain ya lipa sio ya uwakala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…