kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Pendekezo langu kwa nchi yangu ni kuwa. Ili kuwa kiongozi wa nchi. Ni lazima utimize masharti haya
Tumechoka kuweka nchi zetu kwenye mikono ya watu ambao hawako sahii ndo maana mpaka sasa bado Afrika ni maskini
- Cha kwanza unatakiwa uwe na kiasi cha dollars milioni 5+
- Unatakiwa uwe na biashara halisi ambayo inakuingizia pesa Izo. Kwa ufupi uwe mfanya biashara ambaye una mafanikio
Tumechoka kuweka nchi zetu kwenye mikono ya watu ambao hawako sahii ndo maana mpaka sasa bado Afrika ni maskini