kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,779 Reaction score 4,982 Apr 16, 2023 #1 Pendekezo langu kwa nchi yangu ni kuwa. Ili kuwa kiongozi wa nchi. Ni lazima utimize masharti haya Cha kwanza unatakiwa uwe na kiasi cha dollars milioni 5+ Unatakiwa uwe na biashara halisi ambayo inakuingizia pesa Izo. Kwa ufupi uwe mfanya biashara ambaye una mafanikio Ndo tunakupa nchi uongoze bila kutimiza masharti hayo hata tukikupa nchi huwezi kutoboa Tumechoka kuweka nchi zetu kwenye mikono ya watu ambao hawako sahii ndo maana mpaka sasa bado Afrika ni maskini
Pendekezo langu kwa nchi yangu ni kuwa. Ili kuwa kiongozi wa nchi. Ni lazima utimize masharti haya Cha kwanza unatakiwa uwe na kiasi cha dollars milioni 5+ Unatakiwa uwe na biashara halisi ambayo inakuingizia pesa Izo. Kwa ufupi uwe mfanya biashara ambaye una mafanikio Ndo tunakupa nchi uongoze bila kutimiza masharti hayo hata tukikupa nchi huwezi kutoboa Tumechoka kuweka nchi zetu kwenye mikono ya watu ambao hawako sahii ndo maana mpaka sasa bado Afrika ni maskini
James Comey JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 8,759 Reaction score 14,831 Apr 16, 2023 #2 Kwisha
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Apr 16, 2023 #3 Kwamba Rais wa saa hizi na waliomtangulia hawakukidhi hivyo vigezo ulivyotaja?
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Apr 16, 2023 #4
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 16, 2023 #5 Ngoja tuone...