Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
DENI LA MAMA.
#denilamamaabduliAlipe mwenyewe
Mbona kila la jambo machawa wanaona zuri kafanya mama kwa mfano kujenga barabara wanasema mama mama, na deni la mama pia.kwani yeye ndiye anayedaiwa na kulipia hadi liitwe hivyo ? anayedaiwa na mlipaji ndiye mwenye deni …
Naunga sikio hojaKumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda.
Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu kubwa ya hizo pesa ambazo mama yetu anazitoa huwa anakopa na mwisho hubakia kuwa deni la taifa.
Sasa ili kujenga taswira halisi na kuweka uzani sawa sawa, watu wengi wanapendekeza kuwa badala kuitwa deni la taifa basi liitwe DENI LA MAMA.
Mbona kila la jambo machawa wanaona zuri kafanya mama kwa mfano kujenga barabara wanasema mama mama, na deni la mama pia.
DahUliona ile ajali ya mama iliyoondoka na watu 10 jana?
Mbona wakijenga hospitali wanasema MAMA AMETOA PESA. Na hilo ni deni lake.kwani yeye ndiye anayedaiwa na kulipia hadi liitwe hivyo ? anayedaiwa na mlipaji ndiye mwenye deni …