Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Club kubwa za Yanga na simba ni club zenye wachama wengi nchini.
kwa bahati yanga sasa inafadhiliwa na mbunge alienguka katika kura za maoni 2000 Jimbo la Kigamboni. baada ya kuanguka huko Yussuf manji ameingia kuifadhili club ya Yanga, tunaona manufaa yake. Yanga bingwa BARA, bingwa Kagame Cup. Imesheheni vipaji kutoka nje. hii ni kazi Iliofanywa na Manji kuendeleza soka.
naamini Aziz baada ya kustaafu ubunge(kama alivyostaafu waziri mkuu mstaafu EL) ni wazi sasa akaribishwe timu ya simba ili nayo iweze kujikwamua kifedha na ilete mataji .