3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Habari wadau...
Nitoe pendekezo kwa Mamlaka TFF na Bodi ya Ligi au Kampuni yoyote Kuandaa mechi kati ya wazawa dhidi ya wachezaji wakigeni ndani ya Ligi Yetu.
Mechi hii inaweza kuchezwa kabla ya NGAO YA JAMII au baada ya LIGI kumalizika.
I. Makocha wa kikosi cha wazawa wanaweza kuwa (Mkwasa, Matola, Mgunda) hawa ndio watachagua kikosi chao.
II. Kwa wageni Makocha (Kaze, Lwandamina) pia watakuwa na timu yao halafu mechi ipigwe.
Lengo ni kuwapa challenge wachezaji wetu na kuongeza chachu kwenye soka letu kama ilivyokuwa mechi ya MTANI JEMBE.. Mshindi kunakuwa na Zawadi anapewa.
Pendekeza Vikosi