Pendekezo: Mechi kikosi bora cha wazawa VS wageni

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
6,172
Reaction score
6,884
Habari wadau...

Nitoe pendekezo kwa Mamlaka TFF na Bodi ya Ligi au Kampuni yoyote Kuandaa mechi kati ya wazawa dhidi ya wachezaji wakigeni ndani ya Ligi Yetu.

Mechi hii inaweza kuchezwa kabla ya NGAO YA JAMII au baada ya LIGI kumalizika.

I. Makocha wa kikosi cha wazawa wanaweza kuwa (Mkwasa, Matola, Mgunda) hawa ndio watachagua kikosi chao.

II. Kwa wageni Makocha (Kaze, Lwandamina) pia watakuwa na timu yao halafu mechi ipigwe.

Lengo ni kuwapa challenge wachezaji wetu na kuongeza chachu kwenye soka letu kama ilivyokuwa mechi ya MTANI JEMBE.. Mshindi kunakuwa na Zawadi anapewa.


Pendekeza Vikosi
 
KIKOSI CHA WAZAWA
1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe JR
4. Ninja
5. Mwamnyeto
6. Mkude
7. Farid
8. Sure Boy
9. Bocco
10. Fei Toto
11. Kaseke

SUB: Mnata, Yassin, Kibwana, Manyama, Nyoni, Morris, Ame Domayo, Mzamiru, Ndemla, Mhilu, Dilunga, Nchimbi, Ajibu, Miraji na Adam
 
KIKOSI CHA WAGENI

1. Shikalo
2. Onyango
3. Wadada
4. Yakubu
5. Moro
6. Mukoko
7. Kisinda
8. Chama
9. Kagere
10. Ntibazonkiza
11. Miquissone

SUB: Barola, Bruce Kangwa Nahimana, Wawa, Bwalya, Morrison, Lwanga, Yacuba, Niyonzima, Sey, Tigere, Bigirimana, Haruna, Chirwa, Dube, Sarpong, Kahata, Mugalu, Carlinhos
 
Hawa ni baadhi ya Wachezaji wa kikosi cha Nje
-Chama, Miquissone, Kagere, Mugalu, Bwalya,Onyango,Wawa, Mukoko, Kisinda, Saidoo, Lamine, Bigirimana, Stephen Sey,Yakubu Mohamedi,Wadada, Chirwa, Dube, Tigere, Djodi golini Nahimana.

Hatari sana hiyo.Ligi Yoyote wakifanya hivyo Kikosi cha Nje lazima kionekane bora sababu itakuwa ni mechi ya Nchi moja dhidi ya nchi nyingine zote zilizobakia duniani
 
Habari wadau...

Nitoe pendekezo kwa Mamlaka TFF na Bodi ya Ligi au Kampuni yoyote Kuandaa mechi kati ya wazawa dhidi ya wachezaji wakigeni ndani ya Ligi Yetu...
Wenyeji chukua timu ya CHAN iliyopo Cameron mwongeze Tshabalala. Wageni
Kwa wazawa kikosi chako kiko vizuri ila no 4 mtoe Ninja mweke Ame

Wageni
1. Nahimana (Namungo) (Burundi)
2. Wadada (Azam) (Uganda)
3. Kangwa (Azam) (Zimbambwe)
4. Onyango (Simba) (Kenya)
5. Lamine (Yanga) (Ghana)
6. Mukoko (Yanga) (Congo)
7. Miquisone (Simba) (Msumbiji)
8. Saidou (Yanga) (Burundi)
9. Dube (Azam) (Zimbambwe)
10. Chama (Simba) (Zambia)
11. Chikwende (Simba) (Zimbambwe)

Hawa wageni ukiondoa Lamine na Mukoko wote wapo timu za taifa tena wengi 1st eleven, wazawa tunabamizwa 4G
 
Wenyeji chukua timu ya CHAN iliyopo Cameron mwongeze Tshabalala. Wageni

Kwa wazawa kikosi chako kiko vizuri ila no 4 mtoe Ninja mweke Ame...
Tatizo la hivi vikosi Kila mtu ataleta tu ushabiki.mfano kama Hapo kwenye namba 6.kiungo wa kigeni wa eneo hilo ambaye ameonyesha kitu kuliko wengine Ni Mukoko,Lwanga au Ally Niyonzima!?
 
Kweli.. ila wazawa watapambana kufa na kupona
 
Tatizo la hivi vikosi Kila mtu ataleta tu ushabiki.mfano kama Hapo kwenye namba 6.kiungo wa kigeni wa eneo hilo ambaye ameonyesha kitu kuliko wengine Ni Mukoko,Lwanga au Ally Niyonzima!?
Hapo Mukoko Tonombe hana mpinzani
 
Wenyeji chukua timu ya CHAN iliyopo Cameron mwongeze Tshabalala. Wageni

Kwa wazawa kikosi chako kiko vizuri ila no 4 mtoe Ninja mweke Ame.....
Sawa.. hata Ninja ni level moja na AME

Hapo Prince Dube yuko 9 then Kagere anasubiri..Kisinda, Bwalya(hatari hawa wageni)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…