PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu

PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu

Halopesa/Tigopesa/MPesa/Airtel Money/T-Pesa/waleti zingine

Badala ya watumishi katika sekta za umma na za binafsi kulazimika kutumia akaunti za benki kupokelea mishahara, waruhusiwe kupokelea mishahara na malipo mengine kwenye akaunti za simu zao.

Nawasilisha.
 
Kwani SIM Banking Si ipo mkuu unahamisha mpunga tu kirahisi
 
Back
Top Bottom