Usicopy mtazamo wa Mo DewjiWana michezo wenzangu salaam.
Ukilinganisha matatizo inayopitia timu ya Yanga na mafanikio inayoyapata, bila shaka yoyote ndipo utaamini nafasi ya kocha uwanjani.
Mimi siku zote naamini mpira ni wachezaji wazuri, kocha hana nafasi, lkn kwa performance ya Yanga, naona mchango mkubwa ni kocha wachezaji wanamalizia.
Hivi, ingekuwa vipi kama Yanga wasingekuwa na matatizo ya kifedha halafu kocha akawa Zahera? Naamini ingefanya kufuru zaidi.
Kwa performance ya Zahera, napendekeza Amunike ampishe nafasi haraka iwezekanavyo, huyu ndo kocha wa kutuvusha mbali
Ni hayo tu
We ni jinsia gani mkuu tuanzie hapo kwanzaWana michezo wenzangu salaam.
Ukilinganisha matatizo inayopitia timu ya Yanga na mafanikio inayoyapata, bila shaka yoyote ndipo utaamini nafasi ya kocha uwanjani.
Mimi siku zote naamini mpira ni wachezaji wazuri, kocha hana nafasi, lkn kwa performance ya Yanga, naona mchango mkubwa ni kocha wachezaji wanamalizia.
Hivi, ingekuwa vipi kama Yanga wasingekuwa na matatizo ya kifedha halafu kocha akawa Zahera? Naamini ingefanya kufuru zaidi.
Kwa performance ya Zahera, napendekeza Amunike ampishe nafasi haraka iwezekanavyo, huyu ndo kocha wa kutuvusha mbali
Ni hayo tu
Nimekuliza kwa kiswahili naomba jibu we jinsia ganiBe free to write what you think young guy
Umeandika vitu wanvyo andika ma binti ndo maana nikauliza kuwa we jinsia ganUzi huu unahusu jinsia? Kama huna cha kuandika pita kimya kimya tu, shari huwa hazijengi
Mbumbumbu Fc hawawezi kubali hii.Labda afundishe Yanga na Taifa Stars kwa wakati mmoja.....!
Wewe jamaa hauko serious! Yanga wanaperfomance nzuri? Na zile butua butua usifananishe kucheza na ndanda sawa na Uganda au ghanaWana michezo wenzangu salaam.
Ukilinganisha matatizo inayopitia timu ya Yanga na mafanikio inayoyapata, bila shaka yoyote ndipo utaamini nafasi ya kocha uwanjani.
Mimi siku zote naamini mpira ni wachezaji wazuri, kocha hana nafasi, lkn kwa performance ya Yanga, naona mchango mkubwa ni kocha wachezaji wanamalizia.
Hivi, ingekuwa vipi kama Yanga wasingekuwa na matatizo ya kifedha halafu kocha akawa Zahera? Naamini ingefanya kufuru zaidi.
Kwa performance ya Zahera, napendekeza Amunike ampishe nafasi haraka iwezekanavyo, huyu ndo kocha wa kutuvusha mbali
Ni hayo tu
lakini anayeenda kucheza huko ni mshindi wa ligi yetu, n mshindi anapatikana kwa kwa kuwa pointi nyingi na pointi huletwa na magoli, wala si pasi wala si kubutua, goli ni goli. Arsene Wenger aliwahi kupendekeza hilo kwamba anayecheza vizuri naye awe anapewa pointi hata kama kafungwa, hawakusumbuka hata kujadili. BUTUA BUTUA hiyo in point 38 leo hakuna aliye nazo!!!Wewe jamaa hauko serious! Yanga wanaperfomance nzuri? Na zile butua butua usifananishe kucheza na ndanda sawa na Uganda au ghana
Mkuu naona hasira zako za Timu yako Biashara United umeamua kuimalizia kwa Zahera.Umeandika vitu wanvyo andika ma binti ndo maana nikauliza kuwa we jinsia gan
Ni kweli tuliona performance yenu na LipuliWewe jamaa hauko serious! Yanga wanaperfomance nzuri? Na zile butua butua usifananishe kucheza na ndanda sawa na Uganda au ghana