Pendekezo: Neno Utundulissu liingizwe katika Kamusi

Huwa najiuliza, yupi msaliti kati ya Tundu Lissu na wale waliommwagia lundo la risasi.........siamini kama uzalendo ni kutaka kumuua Lissu au kumchafua kwa namna yyt ile.......
Jikite katika mada tafadhali.
 
Pole leo unapewa za mbavu.
Huwa wanaanza mimi namaliza..na hii ndio maana halisi ya De Facto List..saivi wameyeya mmoja mmoja.

Swali langu kwako, iweje mtoto wa kiume utumie avater ya kike.. na ujichekeshe hapa kiunafiki?

Unatafuta basha au? Idiot.
 
Nakutaka wewe kitunguu swaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…