PENDEKEZO: Ofisi zote za Umoja wa Mataifa zilizopo Nairobi zihamishiwe Arusha

Apart from EAC organs, what does Arusha host?
Anything of global significance?
I don't even know why you would put Arusha and Nairobi in the same sentence. Arusha is like an estate in Nairobi 😀😀
NBO this NBO that haujafika kwenye miji ukaona ,Nbo yenyewe slumhub

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lini ulifika Dar au Arusha? Unafikiri Dar Ni street town kama NBO?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NBO village hiii hiii Au kuna sehemu ingine dunia Hii inaitwa Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi unajua kuwa ushindani wa kenya na tanzania upo mitandaoni tu lkn huku mtaani watu wenye akili timamu wamefadhaiswa saana na hili tukio

kibaya zaidi wapuuzi wachache(wengi ni slum dweller ambao walikuwa na ndoto za kuwa maafisa usalama) ndio wanaoandika upumbavu worry out hili ni janga letu sote wana EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya ambao wanatangamana na watz kwenye shughuli za kila siku na kibiashara pia, mimi nikiwa mmoja wao, wanaelewa vizuri unachosema. Nilipigiwa simu na kutafutwa kwenye mitandao ya kijamii na watz, rafiki zangu ambao sio wachache hivyo. Msiba ulipotokea tu. Ila pia ninafahamu, na watz ninaowafahamu vizuri pia wanakiri kwamba sera za uongozi wa awamu hii Tz, kuhusu Kenya, umekuwa ukiegemea sana upande wa mawazo ya hao wachache unaowaongelea.
 
You hold an African position whilst we hold a Galactical position...swallow that bitter pill and while at it hug a transformer.
 
Tena sio Watanzania wote wenye kuombea majirani mabaya mbali ni wachache ila Wengine ni Watu wazuri tena kwenye heshima.
 
Naona una exagerate unachoongea ..ety nairobi ina beds nyng kuliko Tz nzima..unajua Zanzibar ina beds nyng kuliko Nairobi ...usiniwekee guest house za Nai tunaongelea hotels za maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dharau gani kijana? Mkiambiwa ukweli hamtaki kukubali. It's wrong to give credit where it's not due
Dharau gani kivipi...kauli za kimavimavi ndio shida kubwa,Hakuna mtu mwenye tatizo na NBO yenu kamwe,Ndio maana mkipata matatizo sana sana tunawaombea yaishe muendelee na harakat zenu,Kila nchi na mambo yake Ila sio ndio mjione kwamba nyie bora sana no mko tu kawaida hamjafika mahali pakujisahau bado mnasafar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkumbushe pia kajenga barabara,madaraja makubwa,meli,stiggler's gorge, upanuzi Wa mitandao ya maji mjini na vijijini, Elimu bure ,kuangamiza ufisadi, nidhamu ya kazi, amani, upanuzi Wa viwanja vya ndege, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…