Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
Sijui kama wana CDM wanakuelewa vizuri hapa maana wao wanataka kila wanachotaka wao kitekelezwe na matakwa ya wengine yapuuzwe....hii ni hatari sana.
Sikubaliani na hili pendekezo hata kidogo, atakuwa bias na ataweka matakwa ya cdm zaidi kwenye Katiba, we need a free and liberated person in this position ambaye si politician na wala si wakala wa ccm. Ingawa watu kama Pof. Baregu wanafaa kwenye kamati
mi nashauri amweke mheshimiwa polycap pengo.ndo mzoefu
How do you define someone who is not biased mkuu? Wot you said is so low, kuna national values katika hilo, next week tunasubiri mgawanyo wa daiyosisi yetu ya ziwa, tutaona dodoso juma lijalo........
kesi ya dr slaa pale mahakama ya manzese ya kupora mke wa mtu inaendeleaje?mwenye up dates tafadhali
akili zako zimekaa sehemu gani? unashuka hadhi ya kuwa nasi hapa.hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge
point taken kwa ubinafsi huu katiba bora hatupati
ban inakunyemelea una chuki binafsi na slaa post zako zinakuumbua.hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge
Kebehi zisizo na msingi wowote bali fikra za udini udini tu.
rais atateua kwa kutumia busara yake sio nyie mumlazimishe.slaa bado anakabiliwa na kesi ya kuiba mke wa mtu
huna jipya lakuongea?mbona wewe hatukusemi ?acha kumchafua mtu muadilifu.rais atateua kwa kutumia busara yake sio nyie mumlazimishe.slaa bado anakabiliwa na kesi ya kuiba mke wa mtu