Habari Wadau,
Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali.
Nimekuwa nikipendekeza route mbalimbali kama jitihada za kutaafungua macho wahusika ili kutatua changamoto za usafiri
Leo nakuja na route ya Madale-Makumbusho kupitia Goba njia Nne na Makongo juu.
Route hii itaondoa msongamano Mbezi Shule, Goba Njia nne na pia kuwa kiungo muhimu kati ya Goba na Makongo Juu ambazo zimeungana kwa lami lakini hakuna usafiri wa umma.
Pia route hii itapunguza mzunguko wa safari kwa wakazi wa Goba.