Kuna mbezi mwisho -njia nne- madale- tegeta kibaoni hadi mwenge au hii haifaiHabari Wadau,
Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali.
Nimekuwa nikipendekeza route mbalimbali kama jitihada za kutaafungua macho wahusika ili kutatua changamoto za usafiri
Leo nakuja na route ya Madale-Makumbusho kupitia Goba njia Nne na Makongo juu.
Route hii itaondoa msongamano Mbezi Shule, Goba Njia nne na pia kuwa kiungo muhimu kati ya Goba na Makongo Juu ambazo zimeungana kwa lami lakini hakuna usafiri wa umma.
Pia route hii itapunguza mzunguko wa safari kwa wakazi wa Goba.
Hii ni ya madale -makumbusho kupitia njia nne na makongo juu.Kuna mbezi mwisho -njia nne- madale- tegeta kibaoni hadi mwenge au hii haifai
USSR
Hakuna sababu ya hii route Non senseKuna mbezi mwisho -njia nne- madale- tegeta kibaoni hadi mwenge au hii haifai
USSR
Hii naikubali,Habari Wadau,
Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali.
Nimekuwa nikipendekeza route mbalimbali kama jitihada za kutaafungua macho wahusika ili kutatua changamoto za usafiri
Leo nakuja na route ya Madale-Makumbusho kupitia Goba njia Nne na Makongo juu.
Route hii itaondoa msongamano Mbezi Shule, Goba Njia nne na pia kuwa kiungo muhimu kati ya Goba na Makongo Juu ambazo zimeungana kwa lami lakini hakuna usafiri wa umma.
Pia route hii itapunguza mzunguko wa safari kwa wakazi wa Goba.
Mabibo-salenda bliji-kongowe-bagamoyo
Route hauombei JF nenda LATRAHabari Wadau,