Pendekezo: Taifa Stars iitwe Mandonga Stars

Pendekezo: Taifa Stars iitwe Mandonga Stars

😂😂😂Tangu 2002 nilijitoa Taifa Stars
Hata Mimi. Bila kuweka viongozi wenye weledi na professionals na wanaridhika na proffesion Yao hatutasonga mbele.Karia hajajifahamu kuwa Ni Rais wa Tff. Yeye anajua Ni Rais wa Simba. Sasa ngombe amekita kwato. Halafu ujue kupewa mawazo mbadala Ni Utundulissu
 
Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars.

Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?

mm napendekeza iitwe Karia stars

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kumbe tupo wengi tuliofurahia ushindi wa Uganda....

Hata Mimi. Bila kuweka viongozi wenye weledi na professionals na wanaridhika na proffesion Yao hatutasonga mbele.Karia hajajifahamu kuwa Ni Rais wa Tff. Yeye anajua Ni Rais wa Simba. Sasa ngombe amekita kwato. Halafu ujue kupewa mawazo mbadala Ni Utundulissu

bababilalisports~p~CiDWHi4K9kw~1.jpg
 
Back
Top Bottom