Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
๐๐๐Tangu 2002 nilijitoa Taifa StarsKumbe tupo wengi tuliofurahia ushindi wa Uganda....
Hata Mimi. Bila kuweka viongozi wenye weledi na professionals na wanaridhika na proffesion Yao hatutasonga mbele.Karia hajajifahamu kuwa Ni Rais wa Tff. Yeye anajua Ni Rais wa Simba. Sasa ngombe amekita kwato. Halafu ujue kupewa mawazo mbadala Ni Utundulissu๐๐๐Tangu 2002 nilijitoa Taifa Stars
Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars.
Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
Kumbe tupo wengi tuliofurahia ushindi wa Uganda....
Hata Mimi. Bila kuweka viongozi wenye weledi na professionals na wanaridhika na proffesion Yao hatutasonga mbele.Karia hajajifahamu kuwa Ni Rais wa Tff. Yeye anajua Ni Rais wa Simba. Sasa ngombe amekita kwato. Halafu ujue kupewa mawazo mbadala Ni Utundulissu