isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Sijui game kubwa, ila game ndogo hizi, huwa nahisi ni camera moja tu, mwanzo mwisho game unaiona kwa mtindo mmoja tu, zaidi wafanye kuvuta mpira ukiwa upande wa pilj basi.Mwenye kufahamu, Azam TV kupitia (Uhai Productions) wanafunga kamera ngapi katika mechi?
yote yanawezekana tu, zinawekwa kamera upande wa kibendera kila goli kamera moja moja, lakini pia inaweza kukubalika kwanza ni matukio gani yaweze kuangaliwa kwenye luninga mfano, yataanza kuangaliwa matukio ya offside na maamuzi kuhusu penati kwani hayo ndio matukio aghalabu hujitokeza katika ligi yetu..tutaanza taratibu kisha hayo mengine yatafuatia taratibu taratibuSidhani kama itafanikiwa maana naliona tatizo kwa azam tv pia. Azam tv hawana kamera nyingi zitakazo fanikisha kurudia tukio na kuonekana kwa usahihi zaidi. Mfano tukio la goli la yanga dhidi ya mbeya city mpaka leo hii hakuna mwenye uhakika kama ule mpira ulivuka mstari au la maana marudio ya azam tv hakuna sehemu walipo onyesha kama mpira ulivuka mstari au la.
Matukio ni mengi tu azam tv wakirudia hayaonekani vizuri.Kwa hiyo ili angalau twende sawa Azam tv waongeze kwanza kamera.
Whaat! Unamaanisha mechi inaonekana Vertical 15° to 27° tu hamna wakati hata mchezaji, referee au benchi wanaoneshwa?Sijui game kubwa, ila game ndogo hizi, huwa nahisi ni camera moja tu, mwanzo mwisho game unaiona kwa mtindo mmoja tu, zaidi wafanye kuvuta mpira ukiwa upande wa pilj basi.
yaah inawezekana cha muhimu marudio ya tukio yawe clear.yote yanawezekana tu, zinawekwa kamera upande wa kibendera kila goli kamera moja moja, lakini pia inaweza kukubalika kwanza ni matukio gani yaweze kuangaliwa kwenye luninga mfano, yataanza kuangaliwa matukio ya offside na maamuzi kuhusu penati kwani hayo ndio matukio aghalabu hujitokeza katika ligi yetu..tutaanza taratibu kisha hayo mengine yatafuatia taratibu taratibu
At least! Mchezo urushwe na kamera 10.Tatizo azam huwa wanakuwa na camera 5 tu. Kuna tukio lilishawahi kuleta utata mwaka juzi na camera hazikuona