Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ushauri wangu kwa chama tawala,
Ili kuimarisha umoja zaidi, kupunguza mianya ya rushwa, kuongeza udhibiti katika chama na kuwezesha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa ufanisi na ubora zaidi ni vyema wenyeviti wa chama mkoa na wilaya wakateuliwa na Mwenyekiti wa chama Taifa.
Mfumo huu utaendana vizuri pia na mfumo wa nchi ambapo wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na Rais badala ya kuchaguliwa kwa kura za raia.