Unasikitisha,Ushauri wangu kwa chama tawala,
Ili kuimarisha umoja zaidi, kupunguza mianya ya rushwa, kuongeza udhibiti katika chama na kuwezesha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa ufanisi na ubora zaidi ni vyema wenyeviti wa chama mkoa na wilaya wakateuliwa na Mwenyekiti wa chama Taifa.
Mfumo huu utaendana vizuri pia na mfumo wa nchi ambapo wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na Rais badala ya kuchaguliwa kwa kura za raia.
Itaongeza UCHAWA zaidi badala ya ufanisi. Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni bora wangechaguliwa ili kupunguza UCHAWA na kuongeza ufanisi.Ushauri wangu kwa chama tawala,
Ili kuimarisha umoja zaidi, kupunguza mianya ya rushwa, kuongeza udhibiti katika chama na kuwezesha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa ufanisi na ubora zaidi ni vyema wenyeviti wa chama mkoa na wilaya wakateuliwa na Mwenyekiti wa chama Taifa.
Mfumo huu utaendana vizuri pia na mfumo wa nchi ambapo wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na Rais badala ya kuchaguliwa kwa kura za raia.
Haina maana, lazima wawe watu tunao wafahamu vizuriUshauri wangu kwa chama tawala,
Ili kuimarisha umoja zaidi, kupunguza mianya ya rushwa, kuongeza udhibiti katika chama na kuwezesha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa ufanisi na ubora zaidi ni vyema wenyeviti wa chama mkoa na wilaya wakateuliwa na Mwenyekiti wa chama Taifa.
Mfumo huu utaendana vizuri pia na mfumo wa nchi ambapo wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na Rais badala ya kuchaguliwa kwa kura za raia.
CCM ni mwenyekiti na Mwenyekiti ndiye CCM. Hana haja na yote hayo.Ushauri wangu kwa chama tawala,
Ili kuimarisha umoja zaidi, kupunguza mianya ya rushwa, kuongeza udhibiti katika chama na kuwezesha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa ufanisi na ubora zaidi ni vyema wenyeviti wa chama mkoa na wilaya wakateuliwa na Mwenyekiti wa chama Taifa.
Mfumo huu utaendana vizuri pia na mfumo wa nchi ambapo wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na Rais badala ya kuchaguliwa kwa kura za raia.
Mwenyekiti wa wilaya au mkoa au mjumbe wa hadhi yoyote ndani ya CCM ana hadhi gani au uwezo wa kuamua nini mbele ya mwenyekiti wa CCM taifa?Itaongeza UCHAWA zaidi badala ya ufanisi. Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni bora wangechaguliwa ili kupunguza UCHAWA na kuongeza ufanisi.