Pendekezo: Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo ziletewe mkoa wa Dar es Salaam

Pendekezo: Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo ziletewe mkoa wa Dar es Salaam

Jana tuliambiwa wakazi wa Dar tunalalamika sana.
 
Kuna kada wa CCM yeye alipendekeza kuwa Dodoma iwe ni sehemu ya mkoa wa Dar es Salaam, ili kupunguza lawama za Ndugai na Sukuma gang kuwa rais amehama Dodoma na kahamia Dar es Salaam
 
Hyo dar mpk leo Ina mapori kibao ijazeni kwanza ndo muombe zingine, nenda kwembe hukoo,kigamboni, mvuti, yombo mpera kuna mapori kibao na umeme haujafika Barabara hakuna za lami hapo kufuru kwa kule juu tu bado kuna maneno yana vipori.
 
Ni kweli watu wa Dar wanalalamika wanajionaga wao ni watu muhimu sana katika Taifa hili

Si ndio mnatuuliza sisi Tunaishije huku mikoani mnatuona kama sio Watanzania
 
Naunga Mkono kbsa pia Mkuranga wamege sehemu za maeneo ya bagamoyo na kibaha na mkuranga na hili kukuza miji huko haraka viwanja wauze kwa bei ya mikoani millioni 5
 
Hyo dar mpk leo Ina mapori kibao ijazeni kwanza ndo muombe zingine,nenda kwembe hukoo,kigamboni,mvuti,yombo mpera Kuna mapori kibao na umeme haujafika Barabara hakuna za lami hapo kufuru kwa kule juu tu Bado Kuna maneno Yana vipori
Pamoja na mapori dar iongezewe eneo
 
Nimesoma kichwa cha habari tu ila naunga mkono hoja yako
 
Mimi mtu muhimu kutoka kibaha siwez kuliafiki hilo.
 
Ni kweli watu wa Dar wanalalamika wanajionaga wao ni watu muhimu sana katika Taifa hili

Si ndio mnatuuliza sisi Tunaishije huku mikoani mnatuona kama sio Watanzania
Dsm ndio city centre ya Tz.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hyo dar mpk leo Ina mapori kibao ijazeni kwanza ndo muombe zingine, nenda kwembe hukoo,kigamboni, mvuti, yombo mpera kuna mapori kibao na umeme haujafika Barabara hakuna za lami hapo kufuru kwa kule juu tu bado kuna maneno yana vipori.
Wilaya Kinondoni ndiyo shida , hawana ardhi yoyote.... Hivyo wanahaha kupata maeneo. Lakini wangejiongeza kwenda na uchumi mwingine bila kutegemea ardhi mpya.. Wafanye uchumi mwingine, mfano wa blue, high tech , entertainment/ amusement park na vitu vingine kama hivyo.. Ila Bagamoyo msije mkaruhusu hilo, watafyeka ardhi yenu.. Kumbukeni Bandari inakuja !!
 
Maeneo ya nini huko mabwepande na mbopo bado yapo? Au unajua kinondoni ni kino yenyewe?
 
Labda utuambie utengenezwe mkoa mwingine wenye

Kibaha
Chalinze
Bagamoyo
Kisarawe
 
download.png
Bado haisaidii. Ramani inaonyesha kwamba, ni wilaya za Kibiti, Mafia na Rufiji pekee ndizo hazipakani na Dar es Salaam.
Bagamoyo inapakana na Dar upande wa Bunju, Mbeni nk, Kibaha inapakana na Dar maeneo ya Kibamba, Kiluvya, huku Kisarawe ikigusa Mloganzila, Kibamba; Mkuranga inagusa Temeke na ipo karibu na Kigamboni.

Chalinze ni halmashauri japo siyo wilaya ila ipo karibu na Dar japo hazipakani ila dakika 40 kwa daladala toka Mbezi mtu anafika Vigwaza Kwala.

Kwa hiyo, ninadhani Mkoa wote wa Pwani uunganishwe Dar kama ambavyo mkoloni alikuwa ameunganisha zamani.

Kimsingi, Dar ina ukubwa wa Km za mraba 1400 hivi, ukubwa ambao ni mdogo kushinda mikoa yote, na eneo hili linakaribiana na eneo la wilaya ya Moshi yenye ukubwa wa km za mraba 1200.

Dar mkoa mdogo kuliko yote ila una watu wengi kuliko yote. Population preassure is real in Dar
 
Back
Top Bottom