Mwanakulipata JF-Expert Member Joined Jul 17, 2018 Posts 714 Reaction score 1,193 Apr 6, 2021 #1 Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo. Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa. Vitu vingine sio lazima uwe na hela nyingi ndo uvifanye[emoji123]
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo. Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa. Vitu vingine sio lazima uwe na hela nyingi ndo uvifanye[emoji123]
mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,034 Reaction score 4,792 Apr 7, 2021 #2 Asante comrade
Mwanakulipata JF-Expert Member Joined Jul 17, 2018 Posts 714 Reaction score 1,193 Apr 7, 2021 Thread starter #3 mfate42 said: Asante comrade Click to expand... Pamoja
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,710 Reaction score 76,243 Apr 7, 2021 #4 Na rangi ya shati ifanane na nini?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 7, 2021 #5 Ahsante kwa muongozo...
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Apr 10, 2021 #6 Huu uzi hadi nimelia....
Underwood JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 1,909 Reaction score 3,120 Apr 10, 2021 #7 Evelyn Salt said: Huu uzi hadi nimelia.... Click to expand... Unapenda gentlemen inaonyesha.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Apr 10, 2021 #8 Underwood said: Unapenda gentlemen inaonyesha. Click to expand... Ohooooo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Apr 10, 2021 #9 Evelyn Salt said: Huu uzi hadi nimelia.... Click to expand... Mmh kwanini.