Pendeza mwenyewe kwanza ili Uvutie katika biashara yako

Pendeza mwenyewe kwanza ili Uvutie katika biashara yako

ELAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
410
Reaction score
150
Ni vyema ukawa na muonekano mzuri ili Uvutie na katika biashara yako. Karibu nikupendezeshe. Kwa kuwa uko busy mimi nitakufuata nyumbani au ofisini kwako na kukupendezesha kwa kukuletea vipodozi, elimu na ushauri.
Ni vile vilivyobora kabisa na salama, vilivyosajiliwa na kuruhusiwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania.Nitakuletea chochote na sehemu yoyote utakayotaka, Dar es salaam au nje ya Dar es salaam. Karibu ujipatie Lotion, perfume, deodorant, mouthwash, cream, sabuni, aftershave, dawa za Mba, Fangasi, Makovu, Vipele, Harufu mbaya mdomoni na mwilini na kadhalika.Kama umetafuta kipodozi muda mrefu ukakikosa basi niagize mimi nitakutafutia na kukuletea.Karibu sana upendeze na kung'aa zaidi.Nafanya kazi siku zote na muda wote.Mawasiliano : 0659528724 ; 078408284.Karibuni sana!!!
 
Back
Top Bottom