Pendeza siku ya harusi

Acha majungu
Fashion/mitindo inaendana na picha siyo blahblah na mastori tu
Swali langu kwa Bitoz

Hivi una undugu na mustafa Hassanal, Ally remtula, Martini Kadinda, sheria Ngowi au Rio paul?
 
Hapana
Mi sijabahatika kufika level hizo
Mambo ya pamba nayaweza pia yapo kwenye damu hata nikinunua pamba lazima "niichakachue" sipendi kuvaa nifanane na mtu tangu Primary nilikuwa na mapigo yangu
Mambo yakienda sawa nitaanzisha blog
 
Hivi kwa ma-model & ma-desgner wengi wanakuwa na tabia za kisho.ga?
 
Siyo kweli kusena "wengi"
Hao mabasha wapo kila fani au sehemu kwani hujawahi kuona mabaunsa shoga?
Ni tabia ya mtu na haihusiani na fani ya mtu
 
Sawa desgner, ila jitahidi sana ili imfikie Rio Paul
[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Acha zako ww
Sihitaji kuwa km fulani napenda kuwa mtu tofauti
Hata JF sitaki kuwa km fulani au kumfikia fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…