Pendezesha nyumba yako kwa aluminium na pvc

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764


Fika ofisini kwetu tegeta njia ya wazo au piga simu namba 065716052
 
Weka bei mkuu
Mfano dirisha la kawaida 5*5 ni 247000 kioo mm5 utachagua aina uitakayo. Hiyo ni pamoja na kukuwekea.
Ukiwa nje ya dar tutachangia usafiri.
Milango ni 300,000 usiokuwa na vent na 330000 kwa wenye vent kioo utachagua.
Karibuni.
Kwa style nyingine ya madirisha ukichagua nitakupa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…