INAUZWA Pendezesha nyumba yako kwa aluminium

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
394
Reaction score
834
Habarini wakuu, mimi ni fundi aluminium ikiwemo
__madirisha ya aluminium
__milango ya aluminium
__makabati ya chips
__partitions za majumbani na ofisini

NAPATIKANA DARESLAAM -MIKOANI PIA NAKUFIKIA

0686141321






 
Kama ilo la Kwanza kwenye picha zako likiwa n ukubwa wa 6 Kwa 6 Bei Gani. Nipo Dar
 
Asante mtaalam kwa kazi nzuri.

Naomba kuuliza hivi hakuna mtindo mwingine wa madirisha tofauti na huo wa Picha ya kwanza.

Maana nyumba zote zina mtindo huo wenye mabox manne, chini mawili makubwa na juu viwili vidogo.

Kwa kweli kama nifasheni mimi hazinivutii
 



#kuna mitindo mingi tu mkuu__niww tu na utakalo penda
 
Mie mwenyewe hayanivutii kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…