Pendezesha Nyumba yako

Joined
Dec 26, 2021
Posts
33
Reaction score
23
Uzuri wa nyumba sio uimara wa msingi au boma.
Uzuri wa nyumba ni pamoja na urembo wake kuanzia nje na mpaka ndani. Pia uzuri wa nyumba ni pampja na muonekano wake, muonekano wake hutegemea urembo wake.

Urembo huo hufanyika kwenye Nguzo, Kuta na ceiling.


Urembo unaweza fanyika nje ya nyumba na nje ya nyumba.

Wengi urembo huishia sebuleni TU, lakini urembo huu unaweza fanyika nyumba nzima na mpaka vyumba vya kulala.

Huu ni mfano wa urembo wa ceiling na kuta.


Urembo huu hufanyika Kwa kutumia Gypsum board, mbao, screw na rangi, material haya yapo kwenye soko la kawaida huitaji kuagiza nje ya nchi.


Pia Kuna urembo wa Kuta, Yani kitaalamu tunaita Wall moulding and decoration.


Smart Ujenzi tunapenda kukaribisha kama una uhitaji wa huduma hi.

Wasiliana Nasi.
Wilson Mwalukasa, T. Civil Engineer
Smart Ujenzi.
Simu na Whatsapp:
0762-704-031.
0654-704-031.
 
Picha ya nyumba inavyoonekana kwa nje tafadhali
 
kwa mfano huko juu nna mchoro tyr naweza nibadirishe wa aina nyingine bila kuathiri mbao zilizoshikilia gypsum?
 
Kazi ina viwango tupe makadilio ya Bei
Kwa mfano chumba Cha mita 5×4
tuwasiliane whatsaap 0762-704-031.
design ni nyingi, Kila design na complexity yake na hivyo hata material hutofautiana. Chagua design
 
kwa mfano huko juu nna mchoro tyr naweza nibadirishe wa aina nyingine bila kuathiri mbao zilizoshikilia gypsum?
itategemea na fundi wa kwanza aliwetengeneza vipi, maana hizi kazi kila mmoja nautendaji wake. Mwingine akipiga msumari atazamii labda huenda Kuna changes zinaweza fanyika au laah.
 
itategemea na fundi wa kwanza aliwetengeneza vipi, maana hizi kazi kila mmoja nautendaji wake. Mwingine akipiga msumari atazamii labda huenda Kuna changes zinaweza fanyika au laah.
fundi aliniwekea gypsum umbo la octagon inakaaje apo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…