Bwana Abel Magaluda amefiwa na mkewe mpenzi Mrs. Pendo Magaluda amefariki dunia katika hospitali ya Rochester, New York, tarehe 13 Februari 2009 saa mbili na nusu usiku.
Kutoa heshima za mwisho:
Rochester: Jumatatu (16 Februari 2009) - kutakuwa na utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Pendo Magaluda kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi jioni.
Mahali: Rochester Memorial Chapel 1210 Cover Road, Rochester Telephone: 585-797-3553
New York: Ubalozi wa Tanzania, New York utaendelea kuwapa taarifa lini na wapi heshima za mwisho zitatolewa kabla ya kusafirisha mwili Tanzania mara mipango ya kusafirisha itakapokamilika.
Michango
Michango ya hali na mali inaombwa ili kuweza kulipia gharama zifuatazo:
(1) tiketi ya kurejea nyumbani Tanzania, Mama Mlezi wa Marehemu (2) gharama za kusafirisha personal effects za Marehemu (3) gharama za funeral home kwa siku mbili hapa New York wakati wa kusubiri safari.
Unaweza kutuma Mchango wako kupitia
HSBC BANK routing
No:022000020.
ACCOUNT NO: 526410230 yenye jina la
MAGOBE MAGALUDA NA PENDO MAGALUDA.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana wasiliana na
Bwana Abel Magaluda (Mume wa Marehemu) simu namba 1 347 238 9250, pia wafuatao:
Mr. Amos Shindika TEL -1 203 300 4122 na
Mr. William Malecela TEL-1 914 664 1518.
Tunaomba tushirikiane na familia ya Bwana Abel Magaluda katika kipindi hiki kigumu. Tafadhali watangazie na Watanzania wengine (tangazo toka Michuzi).