Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali
Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu
Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike
Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana taswira ya kike
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Chupi kama kaptura hii yaitwa "Boxer"
for real men.
Chupi hiyo huficha mapaja kuashiria si lolote lile.
Chupi ya "Brief" hutukuza mapaja na haimfai dume.
Chupi ya "Boxer" kauli yake ni kuwa mvaaji ni kidume.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Kama chupi havai basi naye huyo ni kioja kitupu!
Kama chupi havai suruali kwake ndiyo chupi yake!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo jamvi!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo taulo!
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

"Boxer" ni funga kazi na mwanaumme apaswa kujivunia.
"Boxer" imeshinda hata wadada waionapo wamkubali mvaaji.
"Boxer" hujivunia mwandani wa mvaaji na hata kumzawadia.
"Boxer" ni ghali dukani lakini jipinde uinunue na kuimiliki.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme mvaaji pia!
 
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL
 
hiyo kaputura tunaiita ni "Boxer" for real men.......................hongera sana.......................lakini kibamia ni cha kuzaliwa nacho.........................nguo haziwezi kubadilisha jogoo ambaye hutekeleza majukumu yake bila ya zengwe...........
 
Du! mkuu sikuwezi!
Mie pia navaa msuri mwanzo mwisho, sie wakazi wa visiwa vya ngazija hatuna makuu.
Vyupi tumewaachia nyie wa kutoka bara.

Du! mkuu sikuwezi!
Mie pia navaa msuri mwanzo mwisho, sie wakazi wa visiwa vya ngazija hatuna makuu.
Vyupi tumewaachia nyie wa kutoka bara.

Michael Scofield........tatizo ni kuwa msuli sasa ndiyo taulo, jamvi la uume wako haifai kabisa vaa "Boxer" iwe ni soksi yako ya kukusafisha kwa kunasa uchafu wa uume wako............LOL
 
Last edited by a moderator:
Si kweli bana.
Design sio muhimu,kikubwa chupi iwe nyeupe,basi.
Mwanaume utavaaje michupi ya marangirangi?

Bishanga........chupi lazima ifunike mapaja ya mwanaumme kuonyesha hayana thamani ila ya mwanamke ndiyo yenye thamani..............kwa hiyo "Brief" is out and "Boxer" is an in-thing.................rangi ya chupi iwe moja tu marangirangi hayo ni ya wa akina dada waachiwe kujinoma huko..........................lakini Bishanga rangi nyeupu inataka uwe na chupi angalau pea 14...................vinginevyo zaweza kufubaa kama hufulii kwenye mashine..........na huanza kuwa na rangi mbili na huchukiza..................
 
Dah!!! Rutashubanyuma hili kwa kweli mimi nimeliepuka kabisa, mimi huwa navaa pensi nyanya..

The Finest mwandani akiiona pensi nyanya lazima apige pumzi ya nguvu akijua kasheshe la siku hiyo itabidi akawasimulie wenzie..............................."Boxer' is for real men..................kuonyesha mapaja kwa mwanaumme ni ukola
 
Last edited by a moderator:
...ila kweli chupi inaongea...maana nikifua zile zangu pale home,hapa mbele panainuka sana...yaani imechora picha halisi ya DODOKI...Kuna mdafada mmoja aliiona akasema...khaaaa ww utakua umebeba!..lol
 
Jamani kwani chupi inavaliwa zaidi ya mara moja? Ukiivua si unaitupa kwenye ndoo yenye maji na omo?
Boxer hovyo kabisa,suruali ikikubana zinaonyesha korodani.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga wataka niitupe ile yangu ya TMK WANAUME...?imeshakua kama chekecheke ila naipenda aisee...

Achana na michupi ya mirangi bana,go for white halafu ziwe pyua cotton.
Mi bora nivae msuruali wa hovyo lakini ndani ni feel comfortable.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unamaanisha hapo kwenye zipu paki2na ndio panaashiria mambo mazuri? Au cjaelewa?
 
Bishanga wataka niitupe ile yangu ya TMK WANAUME...?imeshakua kama chekecheke ila naipenda aisee...

BAGAH kwani unayo moja tu kwa maana ya kauka nikuvae...........vinginevyo achana na hayo marangirangi mwanaumme hayahitaji
 
Last edited by a moderator:
Achana na michupi ya mirangi bana,go for white halafu ziwe pyua cotton.
Mi bora nivae msuruali wa hovyo lakini ndani ni feel comfortable.

akati nina chupi ya BATIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…