Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo unamaanisha hapo kwenye zipu paki2na ndio panaashiria mambo mazuri? Au cjaelewa?
[MENTION]Achana na michupi ya mirangi bana,go for white halafu ziwe pyua cotton.
Mi bora nivae msuruali wa hovyo lakini ndani ni feel comfortable.
Ruta..Kati ya vitu ambavyo wanaume wengi tunashindwa kuvijali ni chupi na soksi.....BAGAH kwani unayo moja tu kwa maana ya kauka nikuvae..........i
Ni kweli!, Lakini kutokana na utamaduni wetu ndio tumezoea hivyo...! labda kama ukitoka nje ya hapo hamna jinsi ni kuitinga tu.
BAGAH kwani unayo moja tu kwa maana ya kauka nikuvae...........vinginevyo achana na hayo marangirangi mwanaumme hayahitaji
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL
Si kweli bana.
Design sio muhimu,kikubwa chupi iwe nyeupe,basi.
Mwanaume utavaaje michupi ya marangirangi?
Mkuu hapo umenena nakupa big...up sana?Wanawake wakiwa vyumbani hupenda kuvaa boxer za waume zao, lakin huwezi kuwakuta wamevaa chupi za waume zao!!
mtambuzi umeniacha hoi. jamani ebu tuwe wakweli kabla ya boxer watu walivaa nini? Vijijini watu hawavai chupi wala boxer wanakata mbuga hivyo hivyo. Ni vizuri kama una hela ukavaa, kama huna hela we twanga likaputula la babu Mtambuzi nani anakuona
Mke wangu atakuja hapa kunisadia kwa hili..
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali
Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu
Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike
Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana taswira ya kike
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!
Chupi kama kaptura hii yaitwa "Boxer" for real men.
Chupi hiyo huficha mapaja kuashiria si lolote lile.
Chupi ya "Brief" hutukuza mapaja na haimfai dume.
Chupi ya "Boxer" kauli yake ni kuwa mvaaji ni kidume.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!
Kama chupi havai basi naye huyo ni kioja kitupu!
Kama chupi havai suruali kwake ndiyo chupi yake!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo jamvi!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo taulo!
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!
"Boxer" ni funga kazi na mwanaumme apaswa kujivunia.
"Boxer" imeshinda hata wadada waionapo wamkubali mvaaji.
"Boxer" hujivunia mwandani wa mvaaji na hata kumzawadia.
"Boxer" ni ghali dukani lakini jipinde uinunue na kuimiliki.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme mvaaji pia!