Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

Hahaah lol! Naona King'asti unaanza kuchomekea mjadala mtamu!

Rejao yaelekea King'asti ananiyemelea na khoja kimyakimya......................akijaribu kuonyesha huo mjadala hautaki lakini kumbe hazitaki mbichi zile.......
 
Last edited by a moderator:

Manyanza unakuwa na nyeupe chache za appointment............gals like men in white boxer..........kwa hiyo ukimvalia hiyo anaona umemjali na ataamini wewe unajipenda ................
 
Last edited by a moderator:
......dahhh, ......acha niendelee na "Long John" zangu, sijui unanitafsirije lakini kilichofunikwa 'kimesitirika'....😉
 
ruta bora umesema wapone! Habari ya kutuvalia machupi ya njano au yenye strips za rangi tofauti tofauti anhaa haina mvuto jamani! hebu wajifunze kua gentlemen..
 
Last edited by a moderator:
mtambuzi umeniacha hoi. jamani ebu tuwe wakweli kabla ya boxer watu walivaa nini? Vijijini watu hawavai chupi wala boxer wanakata mbuga hivyo hivyo. Ni vizuri kama una hela ukavaa, kama huna hela we twanga likaputula la babu Mtambuzi nani anakuona

Caroline Danzi..................nawe uwe mkweli ki-kabisakabisa....................kumbe unajua ni muhimu mwanaumme anapoonekana basi avaee boxer.........sasa kwa nini ajitese na kuptutura kisa haonekani..................Khebu ongea kilichoko moyoni njemba yako si ungelipenda akikuvalia chupi ya boxer kulikoni akikujia na kaputura tena inanuka................
 
Last edited by a moderator:
ruta bora umesema wapone! Habari ya kutuvalia machupi ya njano au yenye strips za rangi tofauti tofauti anhaa haina mvuto jamani! hebu wajifunze kua gentlemen..

Purple.......................lakini nayi mnachangia kwa nini hamuwasemi kuwa zinawaboa?
 
Last edited by a moderator:
Chupi husema mengi hasa kwa wale wasiojitawaza!

Sometimes.........huo sasa ni mjadala mwingineo na utakuwa mkali sana..............
 
Last edited by a moderator:
......dahhh, ......acha niendelee na "Long John" zangu, sijui unanitafsirije lakini kilichofunikwa 'kimesitirika'....😉

Mbu kimesitirika vipi na huku kinatoa kharufu............na wakti ukifika ni lazima maji uyavulie nguo ili uayoge tatizo unayemvulia inabidi uwe mtupu na hiyo kufuli yako ya ajabuajabu aione.............
 
Last edited by a moderator:
chupi nyeupe ni nzuri kwa kina dada maana huvutia labda boxer nyeupe kwa mwanaume ni nzuri sana..

rangi nyeupe kwa ujumla inaondoa khofu ya uchafu kujificha na hata kama upo ni rahisi kuuondoa......
 
Je mkuu nazile zimeandikwa TMK nazo zinahusika hapa japo ni Boxer??napita je nimalize swali la mwisho na zile za mtumba lakini ni original Ulaya je nazo zahusika??Yote yayote namalizia nenda Shop za wazungu,Masaki seaclf,Slipway nakwingine kama huko ila kulikobaki utavaa nylon za mchina!!
 
Ila kiukweli sisi ni wavivu sana kufua kila siku hizo boxer!!
 
hahahahah..yaani nimcheka mpaka basi, haya we endelea na likaptula lako ulilolizoea! no comment
 
Hapo ndipo nashindwaga kuwafahamu wanaume..I mean seriously unavaa boxer uliyovaa juzi bila kuifua???:rant:
Ndo maana mi nlijiamulia kuoa mapeeeeema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…