Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Ndio mtoto wa lema lopolopo.....naunga mkono hoja ...lzm awe chadema
 
Kuna shule ya upadri? na kuna mtu anasomea upadri? Mtoa mada usijipachike vitu usivyovielewa vizuri.
 

Halafu mnaajiita wademokrasia. Mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe mnamfukuza. Ni ngumu sana kuficha unafiki.
 
Mzizi wa CCM ni mpana sana hata yule unaemwamini ni mwenzio kumbe akitoka hapo alipo anaenda kupeleka report yake Lumumba.
 
Mleta Uzi, uwe mkweli. Wewe si Mkatoliki. Hiyo tone yako si ya Kikatoliki. Wakatoliki hatunaga retribution katika jambo lolote. Lkn siku zote tunajua maana ya "Roma Locuta causal finita". Hiyo ndiyo imani yetu. Maneno uliyosema hapo juu ni purely against what we believe in. Tunachukia dhambi na si mtenda dhambi.
 
Huyo hata asipofukuzwa umri wake na mawazo yanaonyesha amefikia mwisho

Badala atende haki kumalizia safari yeye ndio kwanza anafanya kinyume chake

Hata hivyo huyu ni Mfarisayo tu hivyo usishangae anacho kitetea
 
Usishangae siku anafukuzwa anateuliwa ubunge au anatangaza nia.

Huyu lazima anakadi yakijani sio bure
Watu wanauwawa
Watu wanateswa
Watu wanabomolewa majumba
Double standard za maamuzi

Yeye Pengo hakemei uovu huo kwake sawa tu

Huyu Pengo anamhubiri Mungu yupi? Shetani au...
 
anapigwa mapigo saba baba askofu Kadinali Pengo si bure huwezi ukjishusha kuwa mtu wa majungu wakati unaongoza roho za mamimilioni ya watu
 
Naomba nikuulize kosa lake ni nini? Kwani maneno ya Askofu Niwemgizi si ni msimamo wake binafsi? Ukumbuke na wala si msimamo wa jimbo lake la Rulenge. Unakosea sanaaaa na kutenda dhambi kwa kumhukumu kwa maoni yake. Cardinal ametoa naye maoni yake USIYOYAPENDA ila ukweli unabaki pale pale kuwa mpaka baraza la maaskofu likae ndipo linaweza kutoa msimamo wa kanisa katoliki hapa Tanzania. take it or reject it its your wish mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…