Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
hapa ndio umeonyesha kuwa kichwani umebeba akili au uharoSimba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba
Ni sawa pia na Nyumba bila choo,Kufuli bila funguo,Gari bila matairi,Giza bila juaYaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana!
Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba.
Inaonekana Mo amelipa hela nyingi sana ili tamasha litangazwe na Clouds ili kusudi lisidode, Haji Manara ameonekana pengo lake.
Simba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba
hapa ndio umeonyesha kuwa kichwani umebeba akili au uharo
mtu anasema Simba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba, huyo ni mzima?[mention]Renzo Barbera [/mention] yaani kwa ubinadamu sijapenda alichosema Boban dhidi yako kasema hauna akili japo nimejaribu kumuunga mkono nikasema wewe ni mwehu, lakini kiukweli kamjibu jamaa atasemaje hauna akili hata kama nimemuunga mkono lakini sijapenda alichokisema juu yako
Hivi huyo Manara, alikuwa anazunguka mitaani na loudspiker kutangaza taarifa za Simba?Mbona siku zote clouds hutangaza mechi kubwa za Simba huyu mwamba atakua mkoani kwake clouds ilikua haishiki. Mbali na radio clouds wanakampuni ya promotion. Hata alipokuwepo huyu manara Bado ilikua inafanyika.
Kuna baadhi yenu hapa mkiwa mnaambiwa ni Wapumbavu msiwe ama mnakataa au mnabisha pia.Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana!