Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

Huyu alieleta uzi huu unakuta kuna watu wanamtegemea kabisa sasa najiuliza kama anaetegemewa ana akili kama hii je wategemezi wake watakuaje....tuna safari ndefu saanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shafii dauda na Makolo wenzie naona wameingia mkataba na barabara kusaidia MUDDY FC.
 
Linapokuja swala lakuziongelea izi timu mbili kubwa apa bongo watu wanaongelea sana kishabikii
 
Ngoja tuone... Siyo vibaya for a change...
 
nyie mmezoea promo yenu inafanywa na kina Kitenge lakini ungesikiliza historia ya Simba day ambalo hili ni tamasha la 13 kulinganisha na yenu mawili ungejua tu wakati Simba wanaanza tamasha la kwanza Clouds ndio walianza kulipromot ila kwa sababu ya roho yenu mbaya imeshaanza kuwauma, pengo la manara litaonekanaka kama atawavusha kama anavyojidai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…